Vumilia Kwa Hasira Na Hasara Poem Rhyme Scheme and Analysis
Rhyme Scheme: AAAB BBBB CCCBDDDBUjumbe nilioutuma umekwama angani | A |
Kunani wingu limefunika kazkazini | A |
Kipepeo nilichokipepesa kinjiani | A |
Kuwa na ari nakwambia atakuwezesha Rabuka | B |
- | |
Namwomba Rahima aondoe mashaka | B |
Ninasidi nakusakasaka sadaka | B |
Mola hatanitupa langu litafika | B |
Kuwa na ari nakwambia atakuwezesha Rabuka | B |
- | |
Miezi na siku nimevumilia | C |
Naamini dua langu utalikubalia | C |
Usiku mchana furaha kuipalilia | C |
Kuwa na ari nakwambia atakuwezesha Rabuka | B |
Nimeyaamini ya Rahima kweli mapenzi | D |
Kanitunuku ya kweli kipanzi | D |
Kwake nitavumilia japo ni kazi | D |
Kuwa na ari nakwambia atakuwezesha Rabuka | B |
Didachus Nyaundi
(C) All Rights Reserved. Poem Submitted on 11/04/2022
(1)
Poem topics: , Print This Poem , Rhyme Scheme
<< Bahati Haivutwi Kwa Kamba Poem
Next Poem
Write your comment about Vumilia Kwa Hasira Na Hasara poem by Didachus Nyaundi
Best Poems of Didachus Nyaundi