Who is Didachus Nyaundi
...Read Full Biography of Didachus Nyaundi
Didachus Nyaundi Poems
- Vumilia Kwa Hasira Na Hasara
Ujumbe nilioutuma umekwama angani
Kunani?wingu limefunika kazkazini
Kipepeo nilichokipepesa kinjiani
Kuwa na ari nakwambia atakuwezesha Rabuka ... - Bahati Haivutwi Kwa Kamba
Namwomba maulana kwa uvumba na ubani
Ndiye wa kweli Rabuka wa vitendo nawambeni
Atakupa kibali muheshimuni jamani
Usitegemee bahati tafuta we vitu vyako ... - Nakupenda Mama
Giza likiingia mawinguni,ulinifunika
Nilipoanza Julia,nyimbo zilikutoka
Mema ulinipatia,sasa nanufaika
Nikupe zawadi gani mama? ... - Kihoro Kitatumaliza
Domo domo za nini, huku watia mkono kizani
kisha yakutokea puani, nakuwa na damu ya kunguni
mamako kafanya nini, sasa kalala kaburini
lmepasuka dunia Rabuka tufanyeje? ...
Top 10 most used topics by Didachus Nyaundi
Didachus Nyaundi Quotes
- Everybody ain't your friend just because they are smiling in your face only real situation exposes fake people in your life.