Kihoro Kitatumaliza Poem Rhyme Scheme and Analysis
Rhyme Scheme: AAABCDCBCCCBEFCCDomo domo za nini huku watia mkono kizani | A |
kisha yakutokea puani nakuwa na damu ya kunguni | A |
mamako kafanya nini sasa kalala kaburini | A |
lmepasuka dunia Rabuka tufanyeje | B |
kisha kuwa kibibi nakujaa na vimbimbi | C |
lla wapeana chambi kwa nyimbo zako za harenbii | D |
wastahili maombi ila si ombi | C |
lmepasuka dunia Rabuka tufanyeje | B |
kisha Mali kutunukiwa na shakawa kukuandama | C |
baadaye wachonjomelewa na machozi kuterema | C |
kisha waaza kutunduwa kwa kukosa maadili mema | C |
lmepasuka dunia Rabuka tufanyeje | B |
zangu nne nafunga nikikuacha na USIA | E |
usijaribu bahati kwa kutojua matokeo | F |
shakawa itokuandama ukijifuza kuomba | C |
bahati haivutwi kwa kamba | C |
Didachus Nyaundi
(C) All Rights Reserved. Poem Submitted on 11/09/2019
(1)
Poem topics: , Print This Poem , Rhyme Scheme
Previous Poem
Nakupenda Mama Poem>>
Write your comment about Kihoro Kitatumaliza poem by Didachus Nyaundi
didachus nyaundi: nashukuru sana kwa kuchapisha shairi langu
Salma Hatim: Pos, Mzuri sana Na furaha kabisa
Best Poems of Didachus Nyaundi