Is it a crime to be poor

haha sacarstic design kuna word poor
inahappen aje, no hii kitu ni so lame na bado sure
kiss pia inafanya kazi ya pleasure
but hii kazi ni ngumu inahitaji pia trust

leo nabonga ju me nmeomoka mistari zaidi ya mogoka
design lazima nicheze na rada ya ma hawker
wautupigisha look wakiwa ready kuchomoka
hao ndo wale huuact ka mabroker
look sure inabonga na kukill zaidi ya shoka

lyrical sheriff
umbilical cord ni ki spliff
na motivation ni vile tuko diff
na strength ni aty depth high ka ya cliff
harufu yake odourless try just to sniff
green ama brown its still a leaf
allergies ni kwa beef
ju compe man ni so stiff
functionality ni IT ile IF
pen kwangu ni arif
me sikuachi ata wakinikashif

Bulinda means patience so me nawalinda
eeh mabinti me hupenda wa ka rinda
heart zao ngumu ata most time ziunishinda
ju nko so alone wote huona me dream chaser ady waubonda
but io ndo key ya me kutokonda

ka ni crime ndume kufua
ama kujipiga kifua
ju baridi huumiza mafua
joto mingi bado huleta mvua
na baridi mingi si ukil na jua
mapenzi mingi si unajua dawa ni rose ile ua
apo ndo nmekaua