Love Poem Rhyme Scheme and Analysis

Rhyme Scheme: ABCD EEE FFFG GGGG DDGG CCEC CCCC EEEE GGGD HIHH JK

love ni nyeupe na hushine kama juaA
most of the time na forever hiu blossom ka vile uaB
ina harufu tamu ata kuliko ile ya haluaC
love kwangu ni ka stairs lazima tuipande hatua kwa hatuaD
-
mapenzi ni kama kikohozi once uimetoka uwezi rudisha nyuma kama vile machoziE
kupenda ni sawa tu na kuchiziE
ju energy yake ni ka ya kula ndiziE
-
mapenzi ni great hata kuliko zote zile chumaF
ni kama samaki ukishachomoka uwezi rudi nyumaF
love ina ups and down so lazima tu kujitumaF
coz love ni between two so usiwahi believe na hao ma roumorG
-
love ukiipeleka jungle ni ka vile simba hiuprotect io territoryG
kwa wawili wapendanao ju hakuna kitu ya ku worryG
mapenzi pia ni patient so tulia tubuilt our love storyG
value ya kupenda ndo greatest so inadeserve tu gloryG
-
ukimpenda utaona ugumu wa kumtendaD
ju love never dies so akuna need ya calendaD
love haiezi kua shared ata ujaribu kutumis xenderG
hiu work ka magnet lazima uatract to the senderG
-
Love sio soft nka field ya battleC
ukiamua kupenda kua ready kui handleC
ni kama short distance race yenye to many huddlesE
every time you peddle stick together ndo iwe easy to cuddleC
-
mapenzi ni kama zig zag ainaga formulaC
pia uwezi kuipima ata ukitumia rulaC
its so sweet and sour kama vile amarulaC
ju mapenzi inapenda freedom ka nelson mandelaC
-
mapenzi ni honest kama vile maji clear kwa glassE
ama venye oxygen ni clear compared to all other gasesE
mapenzi si kuchocha ju haitambui ata ukue mkwasiE
feeling ya love ni sure hainaga wasi wasiE
-
love kwangu ni contagious ka laughterG
na ikilost kuna venye ni genje kuliko dissasterG
so usiwai taka kuipoteza ju heart yako we ndo maasterG
love kwangu inamaanisha lazima tuwe together kama nywele kwa head ya mrastaD
-
-
Love ni gift kutoka kwa most highH
na ndo maana ni important kuitreasure as long as uko haiI
na lazima tu ntapenda till i dieH
ju love is so real sitawai lieH
-
people do you believe in loveJ
Or do you believe in what you haveK

Perez Bulinda
(C) All Rights Reserved. Poem Submitted on 01/04/2021

Poet's note: simply love served chilled and frosty
Rate:
(1)Poem topics: , Print This Poem , Rhyme SchemeWrite your comment about Love poem by Perez Bulinda


 

Recent Interactions*

This poem was read 7 times,

This poem was added to the favorite list by 1 members,

This poem was voted by 0 members.

(* Interactions only in the last 7 days)

New Poems

Popular Poets