Love

love ni nyeupe na hushine kama jua,
most of the time na forever hiu blossom ka vile ua,
ina harufu tamu ata kuliko ile ya halua,
love kwangu ni ka stairs lazima tuipande hatua kwa hatua.

mapenzi ni kama kikohozi once uimetoka uwezi, rudisha nyuma kama vile machozi,
kupenda ni sawa tu na kuchizi,
ju energy yake ni ka ya kula ndizi,

mapenzi ni great hata kuliko zote zile chuma,
ni kama samaki ukishachomoka uwezi rudi nyuma,
love ina ups and down so lazima tu kujituma,
coz love ni between two so usiwahi believe na hao ma roumor.

love ukiipeleka jungle ni ka vile simba hiuprotect io territory,
kwa wawili wapendanao ju hakuna kitu ya ku worry,
mapenzi pia ni patient so tulia tubuilt our love story,
value ya kupenda ndo greatest so inadeserve tu glory.

ukimpenda utaona ugumu wa kumtenda,
ju love never dies so akuna need ya calenda,
love haiezi kua shared ata ujaribu kutumis xender,
hiu work ka magnet lazima uatract to the sender.

Love sio soft nka field ya battle,
ukiamua kupenda kua ready kui handle,
ni kama short distance race yenye to many huddles,
every time you peddle stick together ndo iwe easy to cuddle

mapenzi ni kama zig zag ainaga formula,
pia uwezi kuipima ata ukitumia rula,
its so sweet and sour kama vile amarula,
ju mapenzi inapenda freedom ka nelson mandela.

mapenzi ni honest kama vile maji clear kwa glass,
ama venye oxygen ni clear compared to all other gases,
mapenzi si kuchocha ju haitambui ata ukue mkwasi,
feeling ya love ni sure hainaga wasi wasi.

love kwangu ni contagious ka laughter,
na ikilost kuna venye ni genje kuliko dissaster,
so usiwai taka kuipoteza ju heart yako we ndo maaster,
love kwangu inamaanisha lazima tuwe together kama nywele kwa head ya mrasta.


Love ni gift kutoka kwa most high,
na ndo maana ni important kuitreasure as long as uko hai,
na lazima tu ntapenda till i die
ju love is so real sitawai lie

people do you believe in love?
Or do you believe in what you have

Perez Bulinda
(C) All Rights Reserved. Poem Submitted on 01/04/2021

Poet's note: simply love served chilled and frosty
The copyright of the poems published here are belong to their poets. Internetpoem.com is a non-profit poetry portal. All information in here has been published only for educational and informational purposes.