social distance the new norm
ka unanipenda ni blowie kisses tu kwa distance
ku cuddle inakam to a lesser degree
valentines wengi ilibidi tumeizoom
sanity imekua caution
so sahii love inagrow tu na emotion

1.5 meters the difference ya space
inafanya inakua ngumu kufit yako ndume in inches
mwenye naweka karibu i really know the face
covid walai haidai tukimess
ju inaeza kua one of our last days