Hii naiindikia virus ile inaitwa co Rona
ju hii time walai macho zangu zilifunguka vitu mingi walai na ona
sijui ka hii kitu ikinipata ka naeza pona
but definately life iko positive blood group O universal doner

stoner
io ndo state ya heart yangu
loner io ndo category ya circle yangu
bonda that is just a catalyst to my face
glow hio ni reflection ya my body kwa giza
raw my meat is stinking not just the moment that am thinking

strictly life ni zaidi ya kuvaa kamisi
pia mtu huezi cram yote kamusi
simply naexpelain tu pahali tumefikishwa na hi kirusi
global design sahii ata uezi hepea marekani ama urusi
kitu imebaki ni ku meditate na ku open third eye kama lion na mbusi