sadly ju vile wadhii wanaondokea
imekua ni deadly ju after effects za virusi
ganji akuna kwa mfuko
asubuhi nkuamkia tu mstuko
alafu kuna venye rona imachange system

trying to adopt io ni freshi
na pia kujiprotect
sasa game inachezwa wengi ni hard ku comprehend
so vaccine sijui ka tuko ready ku spend
ju ulafi ya ma bluffy
inafanya ihike bei ya mafi

hii ni time imehit zaidi ya world war
sielewi ka hii Rusi ilikua man made
hii thought inafanya kichwa ina move in circles kwa bed
avoiding na kinga ndo treatment instead

miracles ziuhappen but inadepend na yako stem