usicheze na mawazo walahi zinaeza kutuma ufikirie umefika mwisho
umesahau kua lazima mwisho kuna place kuli anza
so ni muhimu kumedi but chungana na kuwaza
fore fathers walibonga ati ukidishi minya vs bidii yako

mawazo ni barafu kwa akili itakupea brain freeze
so instead ya kuwaza sana ni better u sneeze
livity na worry haxiwezi correspond
ni ka kufuga crocodile kwa fish pond
ju mind inafaa i work na spirit ndo thoughts zi bond
ju mostly mind materialistic na hiupenda action za james bond

mawazo inanipeleka forest na engage na nature deep in the jungle
but for real nafeel me na trees tuko ready to tango
all in vain kumbe ni dream naiona tu kwa mabango
lakini ata uwaze aje uwezi fika mwisho wa mawazo
kuworry ni fyt bora tu ni kuchora mipango
na ku avoid zenye zitakutuma futi sita kwa udongo

mawazo hiuleta depression kwa
hii yote maybe ju ya chase ya noti
na bado vile tuna avoid kupewa notice
ju ata ka una work kwa office
bila kupea kaisari his piece
akuna venye utawork in peace

me nawanda why its always like this
its just mawazo so ka steady na ready kuimiss.