Dreamers Version

Dream yangu ya kudrive maybach ilianza na me
kuskuma tyre
maybe io ndo chance me nilipata na nikakeep
burning the fire
i did this ju io ndo toy for free me nge hire
dreams ziukua valid ju action itafanya upate shahidi
maybe nadai ka game ya Mashemeji derby nijaze
stadi
nipewe standing ovation
but before nifike hapo
lazima kwanza ni tackle issue za corruption na vile tutabuild hii nation
eeh pia me hupenda fashion
the next top model usimturn down
artistic piece zinafaa tu kuuzwa kwa auction
na lazima tu ntawajenge ka love potion
ghetto love hii si ya must haves si urithika ata na dibre tu ma halves
na dishi atuongezi salt ama sauce tunaidishi vile
una serve
ju si atuambiwi we know meaning ya ku starve
Na leo sieki fullstop naimaliza na accent' grave

Perez Bulinda
(C) All Rights Reserved. Poem Submitted on 02/15/2021

Poet's note: the wishes to be fullfilled
The copyright of the poems published here are belong to their poets. Internetpoem.com is a non-profit poetry portal. All information in here has been published only for educational and informational purposes.